Mateso Makubwa, Shida na Maumivu Niliyo Pitia Sita Yasahau Kamwe?

Leave a Comment 3693 views

Naandika huku nikitokwa na machozi, ilikuwa ni mateso yasiyovumilika, ilikuwa ni masimango ya kila wakati, siku nimeomba masaada wa kaptula nikafukuzwa kama mmbwa, lakini cha ajabu, wa kwanza kunifukuza ndio wa kwanza kujisifia kuwa ndiye amenisaidia sana nifikie hapa nilipo. Nilizaliwa kijiji cha kindimba juu, lakini ndotokuwa nitafika uingereza ni sawa na kusukuma mawe yapande mlima. 

Nilionana na watu wa kila aina, niliuza kila aina ya biashara, dagaa, Samaki, tena kutembea umbali mrefu sana kwa mguu, ambapo nilikutana na nyoka, wadudu wakali wa kila aina, ndipo nilipo jua wema na wabaya wa dunia hii. Nimeamua sasa kuisaidia dunia nzima ijue ya kwamba kukata tamaa ni jambo la mwisho. 

Siku moja nilipokutana na baba mmoja akaniambia nitaishi kwake na kufanya kazi zote zitakazo pangiwa siku jua kama ninaenda kufanya kazi za ndani... mateso niliyo yapata hapo nisingependa vijana wenzangu duniani wayapate.  

Badili maisha yako sasa bonyeza hapa, na ubadili maisha yako na vizazi vijavyo sasa uingie kwenye kutengeneza kipato kwa njia ya mtandao kitakacho kuwa cha kudumu na unaweza warisisha wanao.  Ningekuwa na aliyenitangulia kunipa mwanga huu, maisha yangu yangekuwa meupe.... Safari yangu ya mafanikio itaendelea kesho

How to make your first 10K online!

Leave a Comment