Maamuzi Yenye Manufaa ya Baadaye

by Benno Mwitumba News and Society, Self Improvement, Writing and Speaking
Free Report on How To Earn Income Online   Nilisikia Mwalimu Nyerere akitoa mfano wa mayowe kwa kijana aliyekuwa akienenda kwa kasi ili kufikia mafanikio aliyoyataka, Mayowe ni mengi mno na zaidi ya mayowe mengi husababisha vijana wengi kutofanya maamuzi yenye manufaa kwa maisha yao... Nimejifunza Miongoni mwa watu ambao wanaweza kukusababishia usiwe na maamuzi ya manufaa ni wazazi na vipaumbele vyao.  Wazazi wengi wana ndoto zao, na ukizifuata unapoteza mwelekeo kabisa sababu watataka uishi maisha wanayodhani wao ndio yako sahihi. Watakuchagulia ...
Read More

Usije kurithishwa Utawala

by Benno Mwitumba Arts and Entertainment, Home and Family, Kids and Teens
Kama Ugali wa ulezi ni afya basi kasheshe yake utaiona pale utakapo enda faraghani ndio somo kubwa nilijifunza, na nikakomaza mikono hadi leo ina malenge lenge... Ilikuwa mwaka mmoja tulipokubwa na njaa kijijini kwenye familia yetu, akili ya kuomba ilisinyaa kabisa, ndipo nikamwambia Baba wenzetu wanapataje chakula sisi tukose? Kuwa mtoto wa mwisho kuna hatari yake, wenzangu wote kipindi hicho wapo mijini, ndio Mzee Kadenge na Mimi Kadenge mdogo, tulipozaam msituni na kazi kubwa huko ilikuwa ni kukata msitu na ...
Read More

Kibatali Changu

by Benno Mwitumba Business, Computers and Technology, Finance
Nenda kaombe mafuta ya taa, ndio wimbo uliokuwa wa kila siku, maana sasa lengo la kuwa padre lilianza kukua kwa kasi. Kilicho kuwa kinaniwazisha ni kwamba sasa nikisoma nikawa padre inamaana sitakuwa na watoto??  Ilikuwa mwaka 1997 ndipo ndoto za kuwa padre nipate marafiki ulaya zilipopotea kabisa, japo haikuwa rahisi, nilifanya mitiani ya miito, wiki chache baadaye mama alishuka kwenye basi huku akishangilia na kunipa taarifa kuwa nimepata nafasi ya kuwa mwanafunzi wa shule ya dini iliyopo Likonde aka Likonde Seminary ...
Read More

Siku Niliyojitafakari na Kujipangia Malengo

by Benno Mwitumba Business, Computers and Technology, Internet and Businesses Online, Real Estate, Communications, Kids and Teens
Kwenye familia zetu za ki Africa, Sherehe ni kitu muhimu sana, kwa kijiji chetu, sherehe ni sehemu ambayo mtu atajulikana umuhimu wake, na namna anavyokubalika katika jamii.  Wazee wengi hujipima namna wanavyokubalika katika Jamiii kupitia heshima wanayopewa wakati wa sherehe.  Ilikuwa mwaka 1994 ambapo ndugu wa jirani wa Mama yangu mzazi, waliazimisha sherehe ya miaka 30 ya ndoa, ndipo walipoandaaa Meza kuu iitwayo High table....   Kwa utaratibu wa kawaida, ndugu wa jirani kama kaka, dada na mama hukaa kwenye meza kuu kama ndugu ...
Read More

Mateso Makubwa, Shida na Maumivu Niliyo Pitia Sita Yasahau Kamwe?

by Benno Mwitumba Business, Computers and Technology, Internet and Businesses Online
Naandika huku nikitokwa na machozi, ilikuwa ni mateso yasiyovumilika, ilikuwa ni masimango ya kila wakati, siku nimeomba masaada wa kaptula nikafukuzwa kama mmbwa, lakini cha ajabu, wa kwanza kunifukuza ndio wa kwanza kujisifia kuwa ndiye amenisaidia sana nifikie hapa nilipo. Nilizaliwa kijiji cha kindimba juu, lakini ndotokuwa nitafika uingereza ni sawa na kusukuma mawe yapande mlima.  Nilionana na watu wa kila aina, niliuza kila aina ya biashara, dagaa, Samaki, tena kutembea umbali mrefu sana kwa mguu, ambapo nilikutana na nyoka, wadudu ...
Read More