Maamuzi Yenye Manufaa ya Baadaye

Leave a Comment 2263 views

Free Report on How To Earn Income Online  

Nilisikia Mwalimu Nyerere akitoa mfano wa mayowe kwa kijana aliyekuwa akienenda kwa kasi ili kufikia mafanikio aliyoyataka, Mayowe ni mengi mno na zaidi ya mayowe mengi husababisha vijana wengi kutofanya maamuzi yenye manufaa kwa maisha yao... Nimejifunza Miongoni mwa watu ambao wanaweza kukusababishia usiwe na maamuzi ya manufaa ni wazazi na vipaumbele vyao. 

Wazazi wengi wana ndoto zao, na ukizifuata unapoteza mwelekeo kabisa sababu watataka uishi maisha wanayodhani wao ndio yako sahihi. Watakuchagulia shule, masomo ya kusoma, mtu wa kuishi naye, kabila, na mambo mengi mno kiasi cha kupoteza muelekeo. 

Simama Imara, simamia maamuzi yako kila wakati..... Ili kuweza kufanikisha hilo fungua taarifa hii http://simplereportbrander.com/free-report/BMwitumba iliyo kuletea na uisome kwa makini  au bonyeza hapa http://tidyurl.com/0emjha kuendelea kusoma zaidi na kujiimarisha. 

Maamuzi yenye maarifa maishani huchukua muda kuyafikia..... kaa nasi

How to make your first 10K online!

Leave a Comment